Connect with us

Download Music Audio: Rungu La Yesu – Take Care

Muziki

Download Music Audio: Rungu La Yesu – Take Care

Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Take Care(Kuwa Mwangalifu) kutoka kwa muimbaji mkongwe na mahiri wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop anayefahamika kwa jina la Rungu La Yesu wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya House Of Music chini ya mikono ya producer anayefahamika kwa jina la Makharythm.

Akiongea na gospomedia.com Rungu La Yesu amesema haya “Namshukuru Mungu kunifanikisha kukamilisha hii track kali nzuri na bora “TAKE CARE”, ambayo kimsingi nimejaribu kuzungumza uongo wa shetani juu ya watu wanaomwamini MUNGU….Mara zote shetani ni mwongo  maana yeye maisha ya MBINGUNI yalimshinda kazi kubwa anayofanya sasa nikuwadanganya wanadamu ili na wao waiokose MBINGU kama yeye maana uzuri wa MBINGU anaufahamu…anatumia mbinu mbalimbali ili akunase tu anaweza kukupa pesa cheo au mali au umaarufu na mwisho ukajikuta umeingia maana njia zake za kurubuni hata kwa macho haziwezi kuonekana lazima ujae NENO NA ROHO WA YESU akufunulie la sivyo utazama …”ndiyo maana ya huu wimbo wa Take Care” naomba tushirikiane wadau wote wa muziki kusambaza hii Audio…shukrani za pekee ziwaandee YESU OKOA MITAA(Y.O.M) na Gospo Media kuwa ya kwanza tutambulisha huu wimbo wangu mpya YESU awabariki sana …”

Kwa moyo wa unyenyekevu gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya uitwao TAKE CARE kutoka kwa Rungu La Yesu pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na watu wengi zaidi kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa kupitia wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Rungu La Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 348 032 au +255 752 777 721
Facebook: Rungu L a Yesu
Instagram: @rungulayesu
Email: rungulayesu@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top