Music

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: RIPOTI YA BWANA – ENOCK MWETA

Kutoka kwenye Album yake mpya inayoitwa RIPOTI YA BWANA na huu ni wimbo mpya unaopatikana kwenye Album yake na ndio wimbo uliobeba jina la Album hii, GospoMedia tumekuwekea hapa uweze kuidownload nyimbo hii na kuisikiliza kisha share na wengine ili waweze kubarikiwa kwa ujumbe mzuri ulio katika wimbo huu kwa wewe unayehitaji kumualika au kununua Album yake unaweza kuwasiliana na Enock Mweta kupitia namba zifuatazo +255718159791 au +255767636337. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

 

Like Page yetu ya facebook >>>> GospoMedia kupokea habari zetu kilasiku na kama wewe ni mwanamuziki wa nyimbo za injili na unahitaji kupromote wimbo wako, album yako, video yako, Tangazo lako au habari kupitia blog ya gospomedia.com wasiliana nasi kupitia whatsapp +255755038159 au tupigie +255658293696

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

WAIMBAJI FANYENI VIDEO ZENYE UBORA TUFIKE KIMATAIFA “DR JOHN MAULID”

Next post

Mtazame Mwimbaji Jeniffer Sitta alivyohudumu katika mkesha wa usiku wa Amani