Download Music Audio: Mussa Mpume Feat Ester - Hata Sasa Umenisaidia - Gospo Media
Connect with us

Download Music Audio: Mussa Mpume Feat Ester – Hata Sasa Umenisaidia

Audio

Download Music Audio: Mussa Mpume Feat Ester – Hata Sasa Umenisaidia

Kutoka mjini Dodoma Tanzania, kupitia blog yako ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Hata Sasa Umenisaidia kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mussa Mpume akiwa amemshirikisha mwanadada Ester wimbo huu umetengenzwa ndani ya studio ya Adonai Records chini ya mikono ya Producer Daniel Mwanza.

Akiongea na timu ya habari ya gospomedia muimbaji Mussa Mpume amesema kuwa “Wimbo wa HATA SASA UMENISAIDIA ni ushuhuda na shukurani kwa matendo makuu ya Mungu wetu … pamoja na magumu shida na tabu tunazopitia hatukati tamaa kwa imani tunasonga mbele maana mtetezi wetu yu hai kwa wakati tusiodhani atatenda na kujibu maombi yako sawa na Neno lake katika kitabu cha Zaburi 86:17…., samweli 7:12….  nyimbo hii pia imebeba jina la album yangu ya kwanza iliyo katika mfumo wa Audio Cd ambayo itaingia sokoni hivi karibuni hivyo nawaomba wadau na wapenzi wa nyimbo za Injili wakae mkao wa kupkea albamu hii ambayo itakuwa ya baraka sana katika katika kubadilisha maisha yao kiroho na kimwili.”

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Hata Sasa Umenisaidia kutoka kwa mumbaji Mussa Mpume na usiache kuwashirikisha na wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo  ili nao waweze kubarikiwa na kuinuliwa kupitia kazi hii ya Neno la Mungu na hakika Mungu atakubariki sana.

Downoad Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mussa Mpume kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 685 133 293 au +255 756 316 439
Facebook: : Mussa Mpume
Instagram: @mussampume
Email: manyara66@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top