Audio

Download Music Audio: Mr.Mike Feat Hype Burton – Nakupenda

Kutoka mjini morogoro, blog yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Nakupenda kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mr.Mike akiwa amemshirikisha Hype Burton chini ya usimamizi wa Revolution Ent. wimbo ukiwa umetayarishwa chini ya mikono ya producer Sulesh kutoka mjini morogoro.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa mumbaji Mr.Mike na hakika utabarikiwa na kuinuliwa sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mr.Mike kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 589 151
Facebook: Mr mike Tz
Instagram: @mr_mike_tz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Official Music Audio: Christina Mitambo - Nami Nikapita

Next post

Download Music Audio: Rose O. Mollel Chipe - Hakuna Kama Yesu