Connect with us

Download Music Audio: Milca Kakete-Nakung’ang’ania Rmx

Muziki

Download Music Audio: Milca Kakete-Nakung’ang’ania Rmx

⁠⁠⁠Kutoka nchini canada leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya unaoitwa Nakung’ang’ania ikiwa ni Rmx kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania ambaye kwasasa anaishi nchini canada akifahamika kwa jina la Milca Kakete ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akifanya huduma ya uimbaji na kufanikiwa kuachia album kadhaa ikiwemo ya Nataka Nikuabudu na ile ya Nakung’ang’ania ambazo bado zinaendelea kufanya vyema kwasasa. 
Wimbo huu wa Nakung’ang’ania rmx utapatikana kwenye album yake mpya inayoitwa SIKU IMEANZA(A New Day Start) ambayo anatarajia kuizindua mwezi wa nne mwaka 2017, wimbo huu umetengenezwa ndani ya Talent studio chini ya mikono ya producer Mwatshy Musenge kutoka Uganda.
 
Akiongea na gospomedia.com muimbaji Milca Kakete amesema kuwa album yake mpya itakuwa yenye baraka sana kwa watu wote watakaoipata album hii ambayo itakuwa imesheheni jumbe zenye baraka nzito juu watu wa Mungu wanaopenda kumsifu Mungu kwa njia ya nyimbo hivyo amewasihi wadau na wapenzi wa nyimbo za Milca Kakete wakae mkao wa kupokea album hiyo ambayo imejaa utukufu ndani yake.
gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya wa Nakung’ang’ania rmx kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa kupitia ujumbe wa baraka ulio katika wimbo huu na utakuwa umesaidia kuisambaza Injili mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Milca Kakete kupitia
Simu/WhatsApp: +1(905)3415664
Facebook: Milca Kakete
Instagram: @milcakakete
Twitter: milca kakete
Facebook Page: Milca Kakete Ministry
Email: milcakakete@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top