Connect with us

Download Music Audio: Meshack Aliphonce-Imani Yako

Muziki

Download Music Audio: Meshack Aliphonce-Imani Yako

Kutoka mkoani singida leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayeitwa Meshack Aliphonce na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Imani Yako ukiwa ni wimbo uliotengenezwa ndani ya studio ya Cherish chini ya mikono ya producer Pool Kafuku.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Imani Yako kutoka kwa muimbaji Meshack Aliphonce  kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji  kupitia
Simu/WhatsApp: +255 676 556 898
Facebook: Meshack Aliphonce Mnyang’ombe

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top