Connect with us

Download Music Audio: Martin Mackenzie’s – Umeketi Juu Sana

Muziki

Download Music Audio: Martin Mackenzie’s – Umeketi Juu Sana

Kutoka jijini mbeya, blog yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Umeketi juu sana kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Martin Mackenzie’s wimbo ukiwa umetayarishwa ndani ya studio za Star Shine chini ya mikono ya producer Alfa medrick sanga kutoka jijini mbeya.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa mumbaji Martin Mackenzie’s na hakika utabarikiwa na kuinuliwa sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Martin Mackenzie’s kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 635 446
Facebook: Martin Mackenzie’s
Instagram: @martniezs

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

To Top