Connect with us

Download Music Audio: Kim Kasomba-Nimepewa Jina

Muziki

Download Music Audio: Kim Kasomba-Nimepewa Jina

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayeitwa Kim Kasomba na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nimepewa Jina uliotengenezwa na producer Bizzo Baberon.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Nimepewa Jina kutoka kwa muimbaji Kim Kasomba kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Kim Kasomba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 764 054 577
Facebook: Kim Kasomba
Instagram: @kimkasomba
YouTube: Kim Kasomba

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top