Audio

Download Music Audio: Frida Felix – Nimemchagua Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa moja ya waimbaji wa kike wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Frida Felix wimbo unaitwa Nimemchagua Yesu ukiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayofahamika kwa jia la Neno ambayo kwasasa ipo sokoni wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Push up Records chini ya mikono ya producer Innocent Mujwahuki.

gospomedia.com kwa moyo mkunjufu inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye mafuta ya baraka kutoka kwa muimbaji Frida Felix na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Frida Felix kupitia:
Simu: +255 712 093 696
Facebook: Frida Felix
Instagram: @fridafelixofficial
Youtube: FridaFelixOfficial

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Manuel Gwithus - Bwana

Next post

Tazama Video | Download Official Music Audio: Janet Otieno - Shuka