Connect with us

Download Music Audio: Evalyne Denis – Nakutamani

Muziki

Download Music Audio: Evalyne Denis – Nakutamani

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea wimbo mpya uitwao Nakutamani kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Evalyne Denis.

Wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio ya Saimal Records chini ya mikono ya producer Success Classic.

Hii ni moja kati ya nyimbo nzuri sana ya kuabudu iliyoandaliwa katika ubora wa hali ya juu ambapo muimbaji Evalyne ametukumbusha juu ya uzuri na utukufu wa Mungu na kiu ya kukaa uweponi mwa Mungu na kuongozwa naye katika kila hatua ya maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Evalyne Denis kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 652 838 203
Facebook: Evalyne Denis
Instagram: @evalyne_d29
Youtube: Evalyne Denis

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top