Connect with us

Download Music Audio: Eribless Liundi feat Veronica Dancun-Huyu Yesu

Muziki

Download Music Audio: Eribless Liundi feat Veronica Dancun-Huyu Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam, Tanzania tovuti yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Huyu Yesu kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Eribless Liundi akiwa amemshrikisha Veronica Dancun wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Blessed Music chini ya mikono yake mwenyewe akiwa ni producer wa studio hii.

Akiongea na timu ya wanahabari ya gospomedia.com muimbaji Eribless Liundi amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Tutashinda ambayo bado hajaiachia rasmi.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Huyu Yesu kutoka kwa mumbaji Eribless Liundi na uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo kwa kuwatumia wimbo huu ili waweze kubarikiwa na kuinuliwa na hakika Mungu atakubariki sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Eribless Liundi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 505 002
Facebook: Eribless Liundi
Instagram: @eriblessliundi
Email: eriblessliundi@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top