Connect with us

Download Music Audio : Em_RNB – Huruma ya Mungu

Audio

Download Music Audio : Em_RNB – Huruma ya Mungu

Shalom mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa tumekusogezea wimbo mpya uitwao Huruma ya Mungu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Em_RNB (Emanuel Mwimi ), wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Fash Marry Records chini ya mikono ya prodyuza Mark Two.

Huu ni wimbo wa ushuhuda na wenye nguvu ya kurudisha imani yetu kwa Yesu Kristo ambaye amekua akibadilisha maisha yetu kila siku na sasa kupitia wimbo huu mwimbaji Em_RNB anatakumbusha ujumbe wa baraka juu ya Huruma ya Mungu kwenye maisha yetu na kusisitiza kwa kututia moyo kuwa hakuna lialoshindakana mbele ya Mungu kwakuwa hata yeye alivyo leo ni kwasababu ya Huruma yake Mungu.

Hakika huu ni wimbo wa kubariki sana na kuinua moyo kwa wewe mwana wa Mungu utakayebarikiwa kusikiliza wimbo na amini hautakuwa kama ulivyo baada ya kusikiliza wimbo huu uliojaa matumaini mapya hasa kwa wale wote wenye roho ya kukata tamaa kutokana na changamoto mbalimbali wanazopitia katika maisha yao.. Amini na umpokee Yesu Kristo leo ili uweze kupokea huruma yake na kubarikiwa zaidi na zaidi…

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye baraka ya kukutia Moyo na kukuinua na endelea kuamini kuwa mateso yote unayopitia leo ipo siku yatakwisha kwakuwa Huruma ya Mungu inakuja kuwa baraka juu yako. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Em_RNB kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 679 734 515
Facebook: Emma Mwimi Rnb Rnb
Instagram: @em_rnb

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top