Connect with us

Download Music Audio: Elandre Feat Nelly Music – Hope Alive

Muziki

Download Music Audio: Elandre Feat Nelly Music – Hope Alive

Kutoka jijini Dar es salaam, leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Hope Alive kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop akifahamika kwa jina la Elandre hapa akiwa amemshirikisha muimbaji Nelly Music na wimbo huu ukiwa umetaayarishwa na producer Nelly Music kutoka jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Hope Alive kutoka kwa Elandre akiwa amemshirikisha Nelly Music toa sapoti yako kwa kuwashirikisha watu wengi zaidi ili waweze kulipokea neno la Mungu na kubarikiwa kupitia wimbo huu wenye kuinua sana moyo. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na Elandre kupitia
Simu/WhatsApp: +255 789 011 154 au +255 718 141 994
Facebook: iamelandre
Instagram: iamelandre
Youtube: Elandre
SoundCloud: iamelandre
E-mail: elandre819@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top