Connect with us

Download Music Audio: Christina Seme – New Day

Muziki

Download Music Audio: Christina Seme – New Day

Shalom katika Bwana! Mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Christina Seme leo anakukaribisha kuitazama video yake mpya iitwayo New Day(Siku Mpya) video hii imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Travelor kutoka Kwetu Studio na wimbo ukiwa umetaayarishwa na prodyuza Jobanjo.

Akiongea na gospomedia muimbaji Christina Seme amesema kuwa “New Day” ni wimbo wa ushuhuda wa ahadi za Mungu kwa siku zetu zijazo, na uhakika wa usalama wetu upo ndani ya nguvu zake Mungu, licha ya vikwazo tunavyokabiliana nayo katika maisha yetu.

Christina Seme kwa sasa anafanya huduma ya uimbaji wa muziki wa Injili akiwa pamoja na mume wake anayefahamika kwa jina la Richard Mmari ambao wote kwa pamoja wanamtukia Mungu kwa njia hiyo ya uimbaji na kwa sasa wako mbioni kuachia album yao ya pamoja hivyo wameomba mashabiki na wadau wa muziki huu waendelee kuwapa sapoti katika kuziwekea baraka kazi zao wanazoendelea kuziachia ili injili iweze kuwafikia watu wengi zaidi mahali pote duniani.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha wape sapoti yako kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu na video hii kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili wapate kubarikiwa na kuinuliwa na hakika Mungu atakubariki. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na waimbaji hawa Christina Seme na Richard kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 714 444 430
Facebook Page: Christina Seme & Richard Mmari
Instagram: @Richard_and_Christina_Official
Youtube: Christina & Richard

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top