Audio
Download Music Audio: Betty J. Feat Tina Marego – Mtakatifu
Kutoka Dar es salaam Tanzania, gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya wa kuabudu na wenye kubariki sana uitwao Mtakatifu kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Betty John hapa akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri anayefahamika kwa jina la Tina Marego wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio za Nyikasa chini ya mikono ya producer Samuel Luhende kutoka jijini Dar es salaam.
gospomedia.com inakukaribisha mwana wa Mungu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu ambao umebeba maneno ya Mungu ambayo hakika hutaacha kuusikiliza mara kwa mara kwakuwa hautakuacha kama ulivyo kiroho na kimwili. Karibu!!
Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na muimbaji Betty John wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 621 873 145
Facebook: Betty John
Instagram: @bettyjohn
Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia
