Connect with us

Download Music Audio: Bertha Kapufi-Namwandama Bwana

Muziki

Download Music Audio: Bertha Kapufi-Namwandama Bwana

Kutoka Kibaha maili moja jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Bertha Kapufi na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Namwandama Bwana uliotengenezwa na producer GS kutoka studio ya Non-Stop Music.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Bertha Kapufi amesema kuwa wimbo huu wa Namwandama Bwana unatoka kwenye albam yake mpya inayotambulika kwa jina la MUNGU NA WASOMI ambayo ipo kwenye mfumo wa Audio CD na DVD ikiwa na mkusayiko wa nyimbo 7 na video 7 ikiwemo 1. Maombi 2. Mungu na Wasomi 3. Kwa Uwezo wa Mungu 4. Ee Baba Nakusifu 5. Kwa Neema 6. Namwandama Bwana 7. Mwanamke Anaweza album hii kwasasa inapatikana sokoni kwa wauzaji wote wa album za waimbaji wa nyimbo za Injili.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Namwandama Bwana kutoka kwa muimbaji Bertha Kapufi kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Bertha Kapufi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 676 337 au +255 766 826 250
Facebook: Bertha Kapufi
Instagram: @berthakapufi

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top