Connect with us

Download Music Audio: Benny William – Wa Ajabu

Muziki

Download Music Audio: Benny William – Wa Ajabu

Shalom mwana wa Mungu!! leo kutoka jijini Mwanza nimekuwekea wimbo mpya uitwao Wa Ajabu kutoka kwa mwimbaji na mtaayarishaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Benny William, wimbo umetayaarishwa ndani ya studio za Apex Music chini yake mwenyewe akiwa ndiye prodyuza wa studio hiyo.

Moja ya nyimbo ambazo hutaacha kuzisikiliza na kuzifurahia katika maisha yako ni pamoja ni hii ambayo kwa hakika imeandaliwa katika mazingira bora zaidi na kukupa nafasi ya kumtafakari Mungu katika kiwango cha juu cha kiroho.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Benny William na hakika utabarikiwa sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Benny William kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 719 813 124
Facebook: Benny William
Instagram: @bennywilliam_Official
Youtube: Ben William

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top