Audio

Download GospelMusic Audio: SoulBrothers Unity-Nitakutukuza

Kutoka Mwanza Tanzania tovuti ya gospomedia.com leo inakuletea wimbo mpya kutoka kwa kundi la waimbaji wa muziki wa Injili linalojulikana kwa jina la Soul Brothers Unity wimbo huu unaitwa Nitakutukuza ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Update Music chini ya Mikono ya Producer Doncha Master. 

Soul Brothers Unity ni kundi la vijana wawili ambao ni Yohana Mwachali na Musa Isaya ambao kwa pamoja wameamua kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba muziki wa Injili ili kuwafikia watu wengi kupitia huduma hiyo.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nitakutukuza kutoka kwa waimbaji Soul Brothers Unity na usiache kuwapa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Soul Brothers Unity kupitia:
Simu/WhatsApp: +255753659114 au +255766304402
Facebook: Soul Brothers Unity TZ
Instagram: @soulbrothersunitytz
Twitter: @soul_tz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Rehema Lupilya-Ni wewe

Next post

Tazama Video | Silikiza & Download Audio: Sayuni Mrita-Nampenda.