Connect with us

Download Gospel Music Audio: Yonah – Punda

Audio

Download Gospel Music Audio: Yonah – Punda

Kutoka jijini Dar es salaam, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Yonah wimbo unaitwa Punda wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za The Sound chini ya mikono ya producer Minor Tone.

gospomedia.com kwa utukufu mkubwa inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye baraka na funzo kutoka kwa muimbaji Yonah na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top