Connect with us

Download Gospel Music Audio: James Frank – Tunamtaka Tabitha

Muziki

Download Gospel Music Audio: James Frank – Tunamtaka Tabitha

Kutoka jijini mbeya, Tanzania tovuti yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Tunamtaka Tabitha kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la James Frank wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya CCT MEDIA chini ya mikono ya producer Quillian Japhet.

Akiongea na timu ya wanahabari ya gospomedia.com muimbaji James Frank amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Tunamtaka Tabitha ambayo anasema bado haijatoka rasmi kwakuwa mpaka sasa anatafuta msambazaji atakayeweza kumsimamia na kuisambaza album hiyo ili neno la Mungu liwafikie watu wengi zaidi na kukombolewa.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Tunamtaka Tabitha kutoka kwa mumbaji James Frank na uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo kwa kuwatumia wimbo huu ili waweze kubarikiwa na kuinuliwa na hakika utabarikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji James Frank kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 463 095
Facebook: James Frank
Instagram: @jamesfrank
Youtube: James Frank

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

To Top