Connect with us

Download & Download Music Audio: Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue

Muziki

Download & Download Music Audio: Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue

Kutoka mkoani morogoro Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Beatrice Kitauli safari hii akiwa bado anashirikiana na mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Rose Muhando.

Wimbo huu unaitwa Wajue ukiwa ni moja ya wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017 baada ya kuiachia album yake mpya ya MAUA mwaka jana 2016 na sasa tayari imeshasambazwa na inapatikana kwenye maduka yote ya wauzaji na wasambazaji wa kazi za wanamuziki wa Injili.

Wimbo huu mpya uitwao Wajue umetengenezwa ndani ya studio ya Eck Production chini ya mikono ya producer Enock nyongoto.

GospoMedia.com tunakualika na kukukaribisha kwa moyo wa baraka uweze kusikiliza na kupakua wimbo huu wa WAJUE kisha endelea kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili watu wote wapate kubarikiwa kupitia wimbo huu wa Kesho kutoka kwa mwimbaji Beatrice Kitauli akiwa amemshirikisha Rose Muhando. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Beatrice kitauli kupitia
Simu/WhatsApp: +255757830451
Facebook: Beatrice Kitauli
Instagram: beatrice_Kitauli
YouTube: Beatrice Kitauli

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top