Connect with us

Download Audio: YZ Manamba – Wakiuliza

Muziki

Download Audio: YZ Manamba – Wakiuliza

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Injili uitwao Wakiuliza kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili akifahamika kwa jina la YZ Manamba, wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Masai Records chini ya mikono ya prodyuza E Music.

”Wakiuliza” ni wimbo wa pekee unaokuletea ujumbe wa tumaini katika kumtegemea Mungu kupitia roho mtakatifu ambaye bwana wetu Yesu Kristo humtumia katika kutenda yale ambayo yameshindakana kwa akili zetu, Hakika huu ni wimbo wa kubariki sana pale unapousikiliza mahali popote, Hebu Mungu akatende jambo jipya lililo na nguvu ya baraka katika maisha yako kupitia wimbo huu na Wakiuliza waambie ni Mungu pekee amefanya. Sema Ameen!!

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao utakwenda kukupa nguvu mpya ya kumtumkikia Mungu katika roho na kweli. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji YZ Manamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 686 747 350
Facebook: Yz Manamba Zacharia
Instagram: @yz_manambatz

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top