Download Audio: Phoebe Carol - Baraka Zako - Gospo Media
Connect with us

Download Audio: Phoebe Carol – Baraka Zako

Audio

Download Audio: Phoebe Carol – Baraka Zako

Muimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania, anayefahamika kwa jina la Phoebe Carol leo amekuletea wimbo wake mpya uitwao Baraka Zako wimbo ukiwa umetayarishwa na prodyuza Amzy kutoka studio ya Enzi Records.

Karibu usikilize na kupakua wimbo huu uliojaa ujumbe wa kiroho utakaokufanya upokee baraka za Mungu.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Phoebe Carol kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 784 445 869
Facebook: Phoebe Carol
Instagram: @phoebeatcarol

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top