Connect with us

Download Audio Music: Wagala Shungu – Kabla

Audio

Download Audio Music: Wagala Shungu – Kabla

Shalom mwana Mungu! leo tumekuwekea wimbo mzuri uitwao Kabla kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Wagala Shungu(Wagala Music), wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Success Music chini ya mikono ya prodyuza Chief Elia.

Kabla ni wimbo unaomtukuza Bwana Yesu Kristo kwa njia ya sifa kwa maana nguvu zake na ukuu wake umekuwa msaada mkubwa katika maisha yetu kupitia Roho wake Mtakatifu na sasa kupitia wimbo huu mwimbaji Wagala Shungu anatukumbusha na kutusisitiza juu ya kumwabudu Mungu ili aweze kutukumbuka katika yale ambayo tunastahili kutoka kwakwe.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni Imani yetu utakubariki na kukuinua. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Wagala Shungu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 066 826, +255 713 340 699
Facebook: Wagala Hamidu
Instagram: @wagala_music
Youtube: Wagala Music

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading

More in Audio

To Top