Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Audio Music: Stanley Qamara – Jinsi Ninavyokupenda

Audio

Download Audio Music: Stanley Qamara – Jinsi Ninavyokupenda

Shalom mwana wa Mungu!! leo kutoka jijini Arusha nimekuwekea wimbo mzuri na wenye kubariki uitwao ”Jinsi Ninavyokupenda” kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Stanley Qamara, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Treestar zilizopo jijini Arusha.

Mara zingine ni vema sana kumpatia Mungu sifa kwa hisia ya namna unavyompenda na hivyo ndivyo tunakumbushwa kupitia wimbo huu kutoka kwa mtumishi Stanley Qamara ambaye kwa hakika ametumia kipawa chake vyema katika kuhakikisha unampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako wewe mwana wa Mungu.

Stanley Qamara ni moja kati mwimbaji aliye chini ya menejimenti mpya ya Treestar Promotions ikiwa tayari na waimbaji kadhaa ambao tayari kazi zao zimeanza kutoa matunda ya baraka kwa watu waliofanikiwa kuzipokea na tunaamini kwa utukufu wa Mungu wataendelea kuachia kazi nyingine ambazo zitakwenda kuwabadilisha watu na kupanua ufalme kutoka giza na kuwa Nuru.

Kwa moyo wa unyenyekevu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao naamini utakwenda kuweka jambo jipya ndani ya moyo wako. Karibu !!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Stanley Qamara kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 656 450 681

Facebook: Asiel Qamara

Instagram: @asiel_qamara

Youtube: Treestar Promotions

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Continue Reading

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top