Connect with us

Download Audio Music: Kraist Kid – Mungu Kwanza

Muziki

Download Audio Music: Kraist Kid – Mungu Kwanza

Kutoka mjini Kilimanjaro, jumapili ya leo nimekusogezea wimbo uitwao ”Mungu Kwanza” kutoka kwa rappa mpya wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Gospel Hip Hop anayefahamika kwa jina la Kraist Kid, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani za Mabeatz Eshumba chini ya mikono ya prodyuza Sam na King KUS.

Akiongea na mwanahabari wetu wa gospomedia.com rappa Kraist Kid amesema ”Mara nyingine unaweza ukawa unapitia jambo fulani gumu sana katika maisha yako na hakika kwa upeo wa kibinadamu ni ngumu sana kulitatua basi inakupasa kumuweka Mungu wa Kwanza kwenye jambo lolote lile unalolifanya… naamini kwa mtu yeyote atakayesikiliza wimbo huu atapa majibu yakutosha kabisa  juu ya kile nilichozungumzia kuhusu Mungu Kwanza na naamini kuna kitu cha baraka watu watapokea baada ya kuusikiliza kazi hii…” alimaliza rappa Kraist Kid.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani utakwenda kukubariki siku ya leo. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na rappa Kraist Kid kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 656 946 102
Facebook page: Kraist Kid
Instagram: @kraistkid
Twitter: @kraistkid

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top