Connect with us

Download Audio Music: Felista Gabriel Kiduu – Ninalindwa na Nguvu za Mungu

Muziki

Download Audio Music: Felista Gabriel Kiduu – Ninalindwa na Nguvu za Mungu

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu! leo kutoka jijini Arusha nimekuletea wimbo uitwao ”Ninalindwa na Nguvu za Mungu” kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Felista Gabriel Kiduu akiwa amemshrikisha mwimbaji Daniel Isingo, wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Sanawari ya juu chini ya mikono ya prodyuza Pastor John.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Felista Kiduu kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 743 441 046

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top