Connect with us

Download Audio Music: Anna Mapessa – Unaweza

Audio

Download Audio Music: Anna Mapessa – Unaweza

Kutoka jijini Dar es salaam, leo kupitia blog yako pendwa tumekusogezea wimbo uitwao ”Unaweza” kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Anna Mapessa wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Makini Records chini ya mikono ya prodyuza Enock Jonas.

Unaweza ni wimbo wa kusifu na kuabudu unaoelezea uwezo wa Nguvu za Mungu katika maisha yetu na hapa mwimbaji Anna Mapessa ametuletea ujumbe mzuri wa kiroho wenye kupanda mbegu ya tumaini jipya ndani ya mioyo yetu, huu ni wimbo mzuri wa kubariki na kuinua sana.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na ukatende kazi njema kwako zaidi. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Anna Mapessa kupitia:
WhatsApp: +255 658 489 575
Facebook: Anna Mapessa
Instagram: @annamahela
Youtube: Anna Mapessa

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Audio

To Top