Connect with us

Download Audio: Mercy Masika – Simama Jitukuze

Muziki

Download Audio: Mercy Masika – Simama Jitukuze

Shalom mwana wa Mungu! Mwimbaji mahiri kutoka Nairobi Kenya Mercy Masika anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya uitwao Simama Jitukuze.

Huu ni wimbo wa sifa ambao umetumika kama chombo cha kuwakumbusha watoto wa Mungu juu ya ukuu wa Mungu kupita vitu vyote vilivyopo duniani na mbinguni na hapa anasisitiza juu kumuomba Mungu kujitukuza ili kila kiumbe chenye pumzi kiweze kuona sifa na utukufu wake ambao haufananishwi na kitu chochote.

Huu ni wimbo mzuri sana wa kusifu kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka Afrika na ni hakika wimbo huu utakubariki na kukuinua na utukufu wa Mungu ukapate kuonekana na watu wake . Karibu Ubarikiwe!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na muimbaji Mercy Masika kupitia:
Facebook Page: Mercy Masika
Instagram: @mercymasika
Youtube: Mercy Masika

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top