Connect with us

Download Audio: Luiz Feat Gudiipyne – He Reigns

Muziki

Download Audio: Luiz Feat Gudiipyne – He Reigns

Kutoka zambia mpaka Tanzania leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao ”He Reigns” kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Luiz akiwa amemshirikisha Gudiipyne.

Wimbo huu unaelezea nguvu ya Mungu inavyotawala maisha yetu na hapa anatukumbusha kuwa ukimtegemea Yesu Kristo Mungu anafungua kila kitu kilichofunga na kukutesa kwa muda mrefu na kuwa mtu mpya mwenye kumtumikia katika roho na kweli na hivyo ndivyo nguvu ya Mungu hutawala.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubaiki sana. Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top