Connect with us

Download Audio: Josiah Justice – Asingekuja Yesu

Muziki

Download Audio: Josiah Justice – Asingekuja Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam leo muimbaji Josiah Justice anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa Asingekuwa Yesu, wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio za Relight(Relight Studios) chini ya mikono ya prodyuza Ivan Blessing kutoka jijini Dar es salaam.

Karibu upakue na kuusikiliza wimbo huu wa kuabudu kutoka kwa muimbaji Josiah Justice na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unausikiliza na kuwashirikisha wengine. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Josiah Justice kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 390 059
Facebook: Josiah Justice255
Instagram: @josiahjustice
Twitter: josiahjustice_
Email: Josiah@josiahjustice.com
Website: https://josiahjustice.com/

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top