Connect with us

Download Audio: Jimmy Gospian – Jehova

Audio

Download Audio: Jimmy Gospian – Jehova

Kutoka jijini Mwanza, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji Jimmy Gospian wimbo unaitwa Jehova wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio ya Vibe Nation chini ya usimamizi wa producer Nusder kutoka jijini Mwanza.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa muimbaji Jimmy Gospian na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Jimmy Gospian kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 950 978
Facebook: Jimmy Gospian
Instagram: @jimmygospian

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Audio

To Top