Audio

DOWNLOAD AUDIO: CHRISTINA SHUSHO-AKUTENDEE NINI

AKUTENDEE NINI ni wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki mkongwe na mahiri aliyeweza kupenya kwenye milango mbalimbali ya afrika mashariki na dunia kwa ujumla anaitwa Christina Shusho leo GospoMedia tumekukaribisha wewe mdau wa muziki wa Injili kuweza kuupata na kuusikiliza kisha share na wengine wimbo huu ili nao wapate kubarikiwa na kufunguliwa kupitia wimbo huu. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
EDWIN MROPE
Previous post

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: EDWIN MROPE - USIKATE TAMAA.

magufuli na mzee wa upako
Next post

HABARI PICHA: TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOTEMBELEA KANISA LA MZEE WA UPAKO.