Audio
Download Audio: Benachi – Yesu Wanikamilisha
Kutoka nairobi kenya leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekusogezea kwako wimbo mpya uitwao Yesu Wanikamilisha kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Benachi.
gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo wa upendo kusikiliza na kuupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa kupitia ujumbe ulio katika wimbo huu. Karibu!!
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Benachi kupitia
Facebook: Benachi Mwanake
Instagram: @benachi
YouTube: Benachi Kenya
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia
