Nyimbo

Download Audio: Bahati Bukuku – Amewazidi Wote

Anaitwa Bahati Bukuku ni mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania kwasasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Amewazidi Wote. GospoMedia tumekuwekea hapa uweze kuudownload na kuusikiliza kisha share na wengine ili kumpa sapoti mwanamuziki wetu Bahati Bukuku amabye siku za chache zijazo ataachia albam yake mpya akiwa ameshirikisha Ambwene Mwasongwe. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA

Advertisements
Novic BCvm
Previous post

KUMEKUCHA Wa NURU: WATANGAZA UACHILIAJI WA TRACK MPYA YA Novic BCvm NiNaKuPeNDa SIKUKUU YA WAJINGA

EDSON MWASABWITE
Next post

DOWNLOAD MUSIC VIDEO: EDSON MWASABWITE - ASILIMIA MIA