Connect with us

Audio: Dona Feat SirMbezi-Uthamani

Muziki

Audio: Dona Feat SirMbezi-Uthamani

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya gospel hip-hop anayejulikana  kwa jina la Dona akiwa amemshirikisha rappa SirMbezi So Amazing wakiwa pia na muimbaji Rebecca Mabala ambaye ndiye aliyeimba kiitikio(chorus) ya wimbo huu unaoitwa Uthamani ukiwa umetengenezwa na producer Amyz kutoka katika studio za Enzi Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuweza kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Uthamani kutoka kwa muimbaji Dona na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Dona wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 02 44 55
Facebook: Dona
Instagram: @255dona

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top