Connect with us

Audio: Dolaa Feat. Shadrack Robert – Tuimbe

Muziki

Audio: Dolaa Feat. Shadrack Robert – Tuimbe

Kutoka katika kundi la Machalii wa Yesu mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop maarufu kama Dolaa amekuja kitofuati sana kwa kuachia wimbo wake wa kwanza katika mwaka 2019 uitwao Tuimbe akiwa amemshirikisha mwimbaji Shadrack Robert.

Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Samtimber chini ya mikono ya prodyuza Don Wah.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa. Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na rapa Dolaa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 844 858
Facebook: Dolaa
Instagram: @dolaa_rap
Youtube: Dolaa Kyungay

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top