Audio

Audio: Doh-Ah – Celebration

Kutoka kwa kundi la waimbaji watatu wa kike wa nyimbo za Injili nchini nigeria liitwalo Doh-Ah wameachi wimbo wao mpya wa sifa uitwao Celebration, muziki huu umetayaarishwa na prodyuza mahiri anayefahamika kwa jina la Spiritualbeatz.

Huu ni wimbo wa sifa unaomtukuza na kumshukuru Mungu kwa upendo na neema yake kuu inayotufanya kuendelea kuwa na pumzi na uzima ambao hakuna mahala pengine unapatikana zaidi ya kwake yeye Mungu Baba. Nina imani utabarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa sifa kutoka kwa kundi la wadada hawa. Karibu!

 

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Ebenezer Family Band - Woga Wako

Next post

Audio: Alpha Nondo Feat. Upendo Manasseh - You Remembered Me