Video: Dickson Tamba - Ni Mungu Tu - Gospo Media
Connect with us

Video: Dickson Tamba – Ni Mungu Tu

Video

Video: Dickson Tamba – Ni Mungu Tu

Baada ya kimya kirefu toka alipoachia wimbo wake uitwao Ni Zamu Yako mwaka 2016, Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Dickson Tamba ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Mungu Tu.

Video hii imeongozwa na director Onesmo kutoka studio za OCB IMAGEZ LAB.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Dickson Tamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 021 577
Facebook: Dickson Tamba
Instagram: @dicksontamba
Youtube: Dickson Tamba

1 Comment

1 Comment

  1. Anonymous

    January 12, 2019 at 10:10 am

    Bwana awabariki sana

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top