AudioVideo

Video | Audio: Diamanda – Unatawala

Kutoka jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Diamanda na hii ni video ya wimbo wake mpya wa kuabudu uitwao Unatawala.

Video hii imeongozwa na director Moe Kaali, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Micatune Records chini ya mikono ya prodyuza Mika Danieli.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Diamanda kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 787 892 828
Facebook: Diamanda
Instagram: @diamanda
Youtube: DIAMANDA

Advertisements
Previous post

Video | Audio: John Bera - Mfalme

Next post

Video | Audio: Daddy Owen Feat. Adanje - Bii