Connect with us

Audio: DG – 100 Percent OG

Muziki

Audio: DG – 100 Percent OG

Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la DG na huu ni wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 100 Percent OG.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top