Connect with us

Audio | Video: Derick Marton – Sentesi

Video

Audio | Video: Derick Marton – Sentesi

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekusogezea video ya wimbo mzuri uitwao Sentensi kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Derick Marton, video hii imeongozwa na director Yotham Lyoba na muziki ukiwa umetayaarishwa kutoka ndani ya studio za Push Up Entertainment.

Sentensi ni wimbo unaoelezea jinsi Yesu alivyobadilisha maisha ya mtu aliyekuwa anatenda dhambi na kufikia hatua ya kutengwa na jamii lakini baadae Bwana Yesu akafanyika baraka katika maisha yake na kubadilisha hali yake ya maisha, tabia na yote mabaya ambayo yalikuwa yakimzunguka na kuonekana haifai katika jamii.

Nina imani kuwa utabarikiwa na kuinuliwa utakapoitazama video hii kila wakati, Mungu akubariki sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Derick Marton kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 300 038
Facebook: Derick Marton
Instagram: @derickmarton
Youtube: Derick Marton

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top