Connect with us

Video: Denis Felix – Nivute kwako

Muziki

Video: Denis Felix – Nivute kwako

Kutoka nchini Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeisogeza kwako video ya wimbo uitwao Nivute Kwako kutoka kwa mwimbaji Denis Felix.

Video hii imeongozwa na director JayBlack, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Gtoner.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Denis Felix kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 736 700
Facebook: Denis Felix
Instagram: @denisfelix
Youtube: Dennis Felix

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top