Connect with us

Audio: Deborah Rise – Be It Unto Me

Audio

Audio: Deborah Rise – Be It Unto Me

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mkali uitwao Be It Unto Me kutoka kwa mwanadada Deborah Rise ambaye kipawa chake cha uimbaji kilionekana kupitia mashindano ya Nigeria Idol Star.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Social Media:
Instagram: @deborah_rise
Twitter: @deborah_rise

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top