Connect with us

Video | Audio: Davis Kiarie Feat. Kes Mbogoh – Yesu Pekee

Audio

Video | Audio: Davis Kiarie Feat. Kes Mbogoh – Yesu Pekee

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekusogezea video ya wimbo mzuri wa kuabudu uitwao Yesu Pekee kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Davis Kiarie akiwa amemshirikisha mwanadada Kes Mbogoh. Video ya wimbo huu imeongozwa na director Bakari Ousman kutoka studio za Cross Life Movement, Muziki umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Emmanuel Omusula na kurekodiwa ndani ya studio za Majesty Records.

Yesu Pekee ni wimbo uliojaa sifa na Ibada kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kupitia damu yake aliyoimwaga msalabani sisi tumepata kupona na kuwa viumbe wapya, Hakika upendo wake ni wa ajabu sana na hakuna wa kulinganishwa naye, sifa zote tunaziridisha kwake yeye ni mfalme wetu jana, leo hata milele.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakugusa na kukubariki sana, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Davis Kiarie kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 723 159 569
Facebook: Davis Kiarie

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top