Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: David Wonder – Kumbuka Ghetto

Video

Video | Audio: David Wonder – Kumbuka Ghetto

Baada ya kufanya vizuri kupitia video yake iitwayo Please Call Back huyu hapa tena David Wonder kutoka jijini Nairobi, Kenya anakukaribisha leo kuitazama video yake nzuri iitwayo Kumbuka Ghetto. Video hii imefanyika nchini kenya ikiwa imeongozwa na studio za Trued Pictures Production na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za EMB Records chini mikono ya prodyuza Sharz Ballo.

”Huu ni zaidi ya wimbo, Ni sala binafsi kwa ajili ya kumuomba Mungu kukutana nasi katika haja zetu, ghetto sio mahali tu bali pia ni hali inayoonesha uhitaji wa kupata msaada… #kumbukaghetto” – David Wonder

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii iliyojaa uhalisia na hakika utabaikiwa na kuinuliwa. Ameen!

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/03/David-Wonder-Kumbuka-Ghetto.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Social Media
Facebook: David Wonder EMB
Instagram: @davidwonderemb
Twittter: @davidwonderemb

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top