Connect with us

Video: David Adede – Imbeni Hallelujah

David Adede Imbeni

Muziki

Video: David Adede – Imbeni Hallelujah

David Adede Imbeni

Kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo uitwao Imbeni Hallelujah kutoka kwa mwimbaji David Adede.

Video hii imeongozwa na director Bakari Ousman, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Tim Destiny.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: David Adede
Instagram: @davidadede
YouTube: David Adede

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top