Video | Audio: Daudi Mwanisenga - Halleluya - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Daudi Mwanisenga – Halleluya

Audio

Video | Audio: Daudi Mwanisenga – Halleluya

Baada ya kuachia video iitwayo Msikilize Mungu mwezi uliopita, Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka mjini Tabora anayefahamika kwa jina la Daudi Mwanisenga ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Halleluya.

Video hii imengozwa na director Makon kutoka studio za Mak Vision, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Senga Music chini ya mikono ya prodyuza Davie.

“Usikate tamaa katika harakati zako za utafutaji, kwa maana ipo siku Mungu atajibu maombi yako na kupata kile unachokitafuta.” – alisema Daudi

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Halleluya!

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Daudi Mwanisenga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Daudi Mwanisenga
Instagram: @daudimwanisenga
Youtube: Daudi Mwanisenga

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top