Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Danny Shilla Feat. Festina Mwandwanga – Ni Wangu

Video

Video: Danny Shilla Feat. Festina Mwandwanga – Ni Wangu

Video: Danny Shilla Feat. Festina Mwandwanga - Ni Wangu

Kutoka mjini Tunduma kwa mara ya nyingine tena tumeisogeza kwako video ya wimbo unaoitwa Ni Wangu kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Danny Shilla hapa akiwa amemshirikisha mwanadada Festina Mwandwanga.

Akizungumza na Gospo Media Danny Shilla alisema kuwa Ni Wangu ni wimbo unaobeba jina la albamu yake mpya anayotarajia kuiweka wakfu na kuizindua rasmi tarehe 7 Julai 2019 mjini Tunduma ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo sita katika mfumo wa video DVD.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kwa namna ya pekee.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Danny Shilla kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 746 549 442
Facebook: Danny Shilla
Instagram: @dannyshilla
Youtube: Danny Shilla

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top