Videos

Video | Audio: Danny Gift – Tenda

Kutoka jijini Nairobi, leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea video nzuri ya wimbo uitwao Tenda kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Danny Gift. Video hii imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Ricky Bekko kutoka studio za Big Dreams Films na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Big Dreams Studios chini ya mikono ya prodyuza Boy David.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu wenye mguso wa kipekee na hakika utabarikiwa sana, Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Danny Gift kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 702 903810
Facebook: Danny Gift
Instagram: @dannygiftke
Twittter: @dannygiftke
Youtube: Danny Gift

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Tybe - Leo

Next post

Video | Audio: Ben Jonathan - Siteketei & Salama (Mashup)